Joyce kiria kitchen party tanzania
SILVER STAR HALL!!
Joyce Kiria
Joyce Kiria (alizaliwa Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro, mnamo Desemba1980) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Wanawake (HAWA) na mtangazaji wa kipindi chake cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV.
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Joyce ni kifungua mimba katika familia ya Emmanuel Kiria na mkewe Tharisila Mboya, yenye watotosaba.
Mnamo mwaka 1996, alifanikiwa kupata elimu ya msingi katika Shule ya Nkonyaku mkoani Kilimanjaro.
Alishindwa kuendelea na masomo ya sekondari kutokana na uwezo duni wa kiuchumi wa wazazi wake na hiyo ilimpelekea kwenda Dar es Salaam kufanya kazi za ndani kwa miaka miwili.
Hii kitchen party ya watu wenye kariakoo Yao ilikuwa pambe sanaaa!
Halafu alipata kibarua katika kiwanda cha mablangeti ambapo hakuweza kufanya kazi kwa muda mrefu maana alikuwa anasumbuliwa na kifua kutokana na vumbi la mablangeti.
Aliamua kujiajiri katika biashara za kutengeneza sambusa na kuuza nguoKariakoo kwa fedha alizopata wakati wa kuajiriwa.
Alikuwa na ndoto ya kuwa mtangazaji maarufu, kwa hiyo aliamua kwenda redio Cl